Mchezo wa Marudiano wa Kufuzu kwa Michuano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) - Uganda inahitaji pointi moja pekee ili kufuzu.
Uganda vs Tanzania Leo Jumamosi, 3 Septemba 2022 St. Mary's Stadium, Kitende
Nini utabiri wako, tafadhali weka ubashiri wako kwenye kisanduku cha maoni.